| Mwenyekiti Mh Likosi Akihutubia Mkutano |
| Katibu wa Chadema UK Kamanda Liberatus Musiba akiwa na Mwenyekiti wakifuatilia mkutano |
| Mh Lukosi na Mweka Hazina Dr Alex wakimsikiliza kwa makini Kamanda Godbless Lema akihutubia mkutano huo kwa njia ya simu |
| Dr Alex Paurine ambaye pia ni Mweka hazina akihutubia mkutano huo, Dr Paurine alitumia Power Point kuonyesha picha na matukio yanayoonyesha hali halisi ya maisha ya Watanzania wengi. |
| Ndg Aseri Katanga Mwenyekiti wa bodi ya Computer for Africa akihutubia |
| Gerald Lusingu, Mmoja wa wenyeji wa Mkutano wa M4C Reading na aliyechaguliwa kuwa mwakilishi wa M4C Reading akiwasalimia wananchi |
| Dr Lusingu akitoa Historia ya Harakati za Mabadiliko na Mageuzi katika nchi yetu, huku akifuatiliwa kwa makini na Katibu wa wanawake Bi Margaret Malekia, Katibu Mh Liberatus na Mwenyekiti Mh Lukosi |
| Engineer Prudence Kahatano akichambua matokeo ya azimio la Zanzibar lililovunja azimio la Arusha na madhara ya soko huria kwa Watanzania |
Wadau Mbalimbali katika Mkutano
Wanachama mbali mbali wakikabidhiwa kadi za Chadema na Mwenyekiti wa Chadema UK Mh Chriss Lukosi
| Ndg Wambura akivalishwa Gwanda na Kupewa kadi ya Chadema na Mwenyekiti Mh Lukosi |
No comments:
Post a Comment