Pages
(Move to ...)
Maskani
JIUNGE NA HARAKATI
CHANGIA HARAKATI
NUNUA
VIONGOZI
LUNINGA YA UMMA
FRIENDS OF CHADEMAUK
▼
Thursday 4 October 2012
Zitto apeleka hoja bungeni kutaka uchunguzi walioficha mabilioni nje
›
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuitaarifu nia yake ya kuwasilisha hoja binafsi katika Mkutano...
Wednesday 3 October 2012
Vigogo CCM ‘wahamia’ Marekani
›
• Ni JK, Mkapa, Kinana, Membe na Nape VIGOGO watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wako nchini Marekani, Tanzania Daima Jumatano l...
Kingunge nusura amng’oe Kikwete
›
MWENYEKITI wa Chama cha Mapunduzi, Rais Jakaya Kikwete, na sekretarieti yake wameponea tundu la sindano kung’oka baada ya mkongwe wa siasa...
CCM KWA WAKA MOTO
›
Sumaye amtangazia vita Lowassa • Mwenyewe asema wananchi wa Monduli ndiyo msuli wake
CCM KWA WAKA MOTO
›
Lowassa awatimulia vumbi Sitta, Membe APANGA MAJESHI YA URAIS 2015, ASEMA MONDULI NDIYO MSULI WAKE WA KISIASA
Rufani Ya Lema Yatikisa Arusha
›
Video Rufaa ya Godbless Lema Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiwahutubia wafuasi wake baada ya Jaji MKuu wa Tanzania...
Tuesday 2 October 2012
VIONGOZI WA BAVICHA TAIFA WAALIKWA KUHUDHURIA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA VIJANA LA CHAMA TAWALA NCHINI UJERUMANI
›
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Heche na Katibu Mkuu wake Deogratius Munishi wamealikwa na Baraza la vijana la chama tawala nchini Ujeru...
RUFAA YA MH. GODBLESS LEMA YAAHIRISHWA Yapigwa ‘Kalenda’
›
Kwa mwendelezo wa jinsi kesi iliyokuwa mahakamani na maoni ya watanzania mbalimbali tembelea: http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-...
M4C yazoa makada 201 wa CCM kwa Dk. Magufuli
›
Mikutano ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) inayofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani hapa, Mkoa wa Geita, i...
Mbunge awachochea wananchi Karatu
›
MBUNGE wa Karatu, Mchungaji Israeli Natse (CHADEMA), amewahamasisha wananchi wake wa Kata ya Baaray, Tarafa ya Eyasi kuwacharaza vi...
Zitto, Lissu wang’aka Karatu
›
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto na mwenzake wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), wamewaonya viongozi na madiwani wa cha...
KATUNI
›
WATOTO WA WASIRA WATOA UFAFANUZI JUU YA WAO KUJIUNGA NA CHADEMA
›
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI KUHUSU SISI KUJIUNGA NA CHADEMA NA MALUMBANO KUHUSU MAJINA YETU Tarehe 30/09/2012 mimi E...
Sunday 30 September 2012
Mbowe afichua siri mgogoro wa RC, madiwani Moshi
›
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema mvutano uliopo kati ya madiwani wa Manispaa ya Moshi na ...
uzi wa leo kutoka Jamii Forums
›
Wasira awakana watoto wake waliojiunga na chadema http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/331255-wassira-awakana-watoto-wake-waliojiun...
Kutoka Gazeti la Mwananchi
›
Kashfa nyingine yaibuka Tanesco KASHFA mpya imeibuka ndani ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), baada ya kubainika kuwa vikombe vya ...
Familia ya Waziri Wasira yahamia Chadema
›
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa akiwakabidhi kadi za uanachama wa CHADEMA watoto wa Wasira Yadai inahitaji mabadiliko ya k...
Mkutano wa Zitto Kabwe Karatu Mjini
›
Mdee Afungua Shina La CHADEMA Boko
›
Mdee `amshukia` Mchungaji Lwakatare
›
Serikali imetakiwa kumdhibiti na kumuondoa, kisha kuibomoa nyumba ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mchungaji Getrude Lwakatare. Rai h...
TAMKO LA CHAMA KUKANUSHA SHUTUMA ZA CHAMA CHA CUF KUFANYIWA VURUGU NA CHADEMA.
›
TAMKO LA CHAMA KUKANUSHA SHUTUMA ZA CHAMA CHA CUF KUFANYIWA VURUGU NA CHADEMA. Ndugu wananchi na wanahabari, Siku ya terehe 27 A...
John Heche afichua mbinu chafu zinazoelekezwa kwa Chadema
›
Mpango wa kusitisha M4C, baada ya ccm kugundua kwamba mbinu zote za kusitisha M4C kwa kutumia polisi na dola zimegundulika baada y...
Tuesday 25 September 2012
CHADEMA: Kama safari ya kifisadi RC atushitaki
›
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Manispaa ya Moshi kimemtaka Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, kutumia vyomb...
CHADEMA kuzindua matawi kila kata
›
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kuzindua matawi katika kila kata nchini, ili kujihakikishia ushindi wa asil...
Thursday 20 September 2012
Jaji Mkuu, Othman Chande aahirisha kesi ya rufaa ya Godbless Lema
›
Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande ameahirisha kesi ya rufaa ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini, hadi Oktoba 2, 2012 kwa mujibu wa m...
‹
›
Home
View web version