MKUTATANO WA CHADEMA UK !!!!
Uongozi wa muda wa CHADEMA UK unapenda kuwakumbusha wana kamati
wote kwamba kutakuwa mkutano kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa viongozi wa
kudumu Tarehe 24th
November 2012 Jumamosi saa kumi na moja (17:00pm)
jioni karibu
na Barking Station...Pahala pa mkutano ni pale pale.
No comments:
Post a Comment